Kama kweli umeuza shamba wewe ni matacall bora ungechukua mkopo bank. Maana hata ungeshindwa kulipa mkopo, kuna bank zingenunua mkopo wako. Badilisha watu unaokaa nao tafuta marafiki wakufundishe maisha.Je, ni haki kisheria familia yangu ya mke na watoto inishtaki ikidai mgao wa pesa unaotokana na shamba la urithi la ekari 20 nililouza? nilipewa shamba hilo ukiwa ni urithi wangukutoka mali ya marehemu baba aliyefariki mwaka 2007.
Wakati nalirithi shamba hilo nilikuwa nikiishi na mke wangu na watoto sita lakini mimi nililiuza shamba hilo kimya kimya bila kumshirikisha mtu yeyote. Je ni lazima tugawane mali hiyo?
naomba kwanza kufahamu vifuatavyo;Je, ni haki kisheria familia yangu ya mke na watoto inishtaki ikidai mgao wa pesa unaotokana na shamba la urithi la ekari 20 nililouza? nilipewa shamba hilo ukiwa ni urithi wangukutoka mali ya marehemu baba aliyefariki mwaka 2007.
Wakati nalirithi shamba hilo nilikuwa nikiishi na mke wangu na watoto sita lakini mimi nililiuza shamba hilo kimya kimya bila kumshirikisha mtu yeyote. Je ni lazima tugawane mali hiyo?
Nani kakudanganya hivyo, hata zawadi ni matrimonial property.Mali ya urithi ukisharithi inakuwa ni personal property haina ubia na mke wala mtoto, hivyo ww ndio mwenye maamuzi ya mwisho.
Haihesabiki kama ni matrimonial property kufanya mke na watoto kudai chochote
UMEKOSEA SANAJe, ni haki kisheria familia yangu ya mke na watoto inishtaki ikidai mgao wa pesa unaotokana na shamba la urithi la ekari 20 nililouza? nilipewa shamba hilo ukiwa ni urithi wangukutoka mali ya marehemu baba aliyefariki mwaka 2007.
Wakati nalirithi shamba hilo nilikuwa nikiishi na mke wangu na watoto sita lakini mimi nililiuza shamba hilo kimya kimya bila kumshirikisha mtu yeyote. Je ni lazima tugawane mali hiyo?
Mali ya urithi ukisharithi inakuwa ni personal property haina ubia na mke wala mtoto, hivyo ww ndio mwenye maamuzi ya mwisho.
Haihesabiki kama ni matrimonial property kufanya mke na watoto kudai chochote