House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,179
- 2,177
Inasikitisha, chini ya mikataba ya ki-mangungo, mgodi wa Buzwagi ulioko kahama ni mkubwa sana hapa Tanzania. Mgodi unazalisha dhahab na kila siku ya alhamisi ndege hubeba dhahabu kupeleka nje
HMgodi una miaka 4 uki operate katika level ya production, lakini serikali inasema bado eti uko kwenye hatua ya utafiti na serikali haijaanza kupata mrahaba wala kodi...does it bring sense?..
Hii serikali imeshaona watanzania wote ni mazuzu, ni utafiti gani hadi leo wamarekani wanaoufanya harafu kila wiki wanapandisha matofali ya dhahabu kupeleka kwao?
Viongozi wetu hamfai hata kidogo, watanzania wanakosa huduma za kijamii kwa urafi wenu wa kujilimbikizia mimali?
Kama unaufahamu huu mgodi na ukaona kila wiki wazungu wanapandisha dhahab utaelewa ninachomaanisha
CCM na viongozi wake mnatumaliza wananchi, nie sio watu..ni heli kukutana na ibilisi kuliko nie