Mali ya Uma inapopakwa 'rangi' ya CCM

Mali ya Uma inapopakwa 'rangi' ya CCM

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83
i954_1258042470mark3.jpg

Kazi ipo!
 
hujasoma maana ya rangi za bendera ya taifa darasa la tatu

acha 'ushamba' wako wewe, niambie mbona hakuna rangi nyeusi, blue hapo?!
 
Green = enviromental friendly, yellow/orange = ?
 
Kwani jamani ni lazima zitumike rangi zote kwa pamoja?
Anyway, hio rangi yenu ya CUF (nyeupe) sio imetiwa pia????

asante mdau, we unafaa ungekuwa 'lambart'
 
mimi nadhani wameweka hizo rangi kulingana na shughuli wanayofanya
kijani uoto wa asili unaotegemea kuukuta huko ngorongoro
njano inaonaoneshautajiri/mali asili zilizopo huko ngorongoro
au walitakiwa wapake mpaka rangi za wanyama na ndege wote utakaowakuta huko?????
 
Uwezo wako wa kufikiria ndy huo! shabiki wa simba akiona hivo atasema wanapendelea YANGA!! teh teh
 
Uwezo wako wa kufikiria ndy huo! shabiki wa simba akiona hivo atasema wanapendelea YANGA!! teh teh

Haaaaaaaaaa! hivi kweli ni uwezo wa kufikiri mdogo? huu sasa ni UVIVU WA KUFIKIRI (Kufikiri ni kazi ngumu nayo)
 
mimi nadhani wameweka hizo rangi kulingana na shughuli wanayofanya
kijani uoto wa asili unaotegemea kuukuta huko ngorongoro
njano inaonaoneshautajiri/mali asili zilizopo huko ngorongoro

Si ngorogoro tu ila hifadhi/mbuga zote za taifa, na njano ina signify madini yanayopatikana nchini

(shule ya msingi huwa wanachambua rangi ktk bendera ya taifa zinawakilisha nini, nadhani na wizara wame-draw from there)
 
kwa hiyo mkuu ulitaka waweke rangi ambayo hakuna chama cha siasa inazitumie au vipi?unadhani ni kweli wamepaka rangi hii kwa sababu ni wana CCM?hizi ni siasa za kitoto.....

watu wako sensitivu jamani heeeeee cant u note zat ebooo!!!!
 
Kumbe ccm ina rangi? Mimi nilifikiri ni rangi ya Yanga!!!
 
Back
Top Bottom