Huyu mrema ndio anaongoza kua n majengo mengine arusha,uzunguni tu ana nyumba zaidi ya 5...na thamani ya sasa hapo uzunguni nyumba ni 1.5bn ukiuza,kipindi cha nyumba zilikua 2bn na watu wananunua
Unajua kwa wakazi wa ARUSHA na KILIMANJARO, wao ndio wanaamini kuwa wameshika UCHUMI WA TANZANIA 🇹🇿 na wao ndio wanaamini kuwa wameshika UCHUMI WA MIKOA YA ARUSHA NA KILIMANJARO.
Kumbe sio! Hali halisi haiko hivyo! UCHUMI WA TANZANIA 🇹🇿 umeshikwa na SERENGETI yaani CHUI halafu wanaofuatia ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁, jamii nyingine hazipo kwenye ramani.
Hata UCHUMI WA MIKOA YA ARUSHA NA KILIMANJARO umeshikwa na SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 yenyewe kupitia SEKTA YA UTALII NA MADINI, jamii nyingine ni SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA 🦁.
Halafu kitu kingine, pale ARUSHA kuna CHUO CHA KIJESHI yaani MILITARY ACADEMY na pale KILIMANJARO kuna CHUO CHA POLISI yaani POLICE ACADEMY, kwahiyo hii mikoa miwili kuna uwangalizi mkubwa sana kutokana na uwepo wa hivyo vyuo vya kipolisi na kijeshi.
Na SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 imewekeza sana kwa sababu ya kiusalama na kiulinzi. Hauwezi kuamini kuwa pale CHUO CHA POLISI - MOSHI [ CCP ] kuna askari wana vyeo vikubwa sana kuliko hata RPC wa KILIMANJARO. Sasa kwanini mkoa wa KILIMANJARO usiwe na ulinzi wa kutosha? Na ulinzi wa kutosha ni pamoja na uwekezaji na uwekezaji unafanyika kupitia raia wa kawaida. Hauwezi ukaona POLISI ndio uamini kuwa maeneo hayo yapo chini ya ULINZI WA KIPOLISI. Huwa wanawekeza kupitia raia wa kawaida - ndio maana hawa wenyeji wa MKOA WA KILIMANJARO wanaonekana wana fedha sana lakini mwisho wa siku hawana kitu.
Hali hii iko hivyo hivyo kwa upande wa ARUSHA, pale CHUO CHA KIJESHI kuna askari wana vyeo vikubwa kuliko hata MKUU WA KANDA. Sasa kwanini mkoa wa ARUSHA usiwe na ulinzi wa kutosha? Na ulinzi wa kutosha ni pamoja na uwekezaji na uwekezaji unafanyika kupitia raia wa kawaida. Hauwezi ukaona JESHI ndio uamini kuwa maeneo hayo yapo chini ya ULINZI WA KIJESHI. Huwa wanawekeza kupitia raia wa kawaida na ndio maana hawa wenyeji wa hii mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO huwa wanaonekana wana fedha sana lakini mwisho wa siku hawana kitu.
SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 kupitia raia wa kawaida [ wengi wao huwa ni askari kanzu ] wanamiliki UCHUMI MKUBWA sana kwa mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO na sasa hivi wameenda mpaka MANYARA. Na hii yote ni kwa sababu ya kiusalama na kiulinzi.
Na nikupe siri nyingine - kwa mikoa ya ARUSHA na KILIMANJARO ukilimiki hata BAA achilia mbali HOTELI ZA KITALII watakukagua mpaka BABU NA BIBI zako. Hii yote ni kwa sababu ya kiulinzi na kiusalama kwa CHUO CHA KIJESHI na CHUO CHA KIPOLISI.
Hali hii iko hivyo hivyo kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿 nzima. Hauwezi kusema UCHUMI WA TANZANIA 🇹🇿 umeshikiliwa na wageni! Kwanza hao wageni wametoka wapi? Mpaka waje kushikilia UCHUMI WA TANZANIA 🇹🇿? Hakuna kitu kama hicho! Kwanza hakuna SERIKALI yoyote inayoruhusu UCHUMI wake ushikiliwe na wageni.
Hao wote mnaowaona ni wafanyakazi wa kawaida lakini wamiliki halali huwa ni WATANZANIA WEUSI pamoja SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿.