Mali za RUGEMARILA kuzuiwa zote na kunyang'anywa

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,537
Reaction score
6,472
hivi serikali za nchi za wenzetu ukiona umepata pesa kwa njia haramu kama hii ya rugemarila alizogawa kama njugu, mali zake zote zinatakiwa kuzuiwa, account zote kuwa frozen kabla hajawithdraw hela, nyumba zake zote kuzuiwa. huyu jamaa pia anatakiwa aonekane pale kisutu akisulibiwa na mali zake zote zizuiwe kabla hajaanza kuzihamisha.
 
kwenye iyo report yao naona wamerecomend hivyo, na wamesema bwana sethi na ruge wakamatwe mara moja kwa money laundering ambayo haina dhamana, jamaa watasota sana rumande.
 
Subili hakuna kitu kama hicho.....mzeee hayo ni mapendekezo kuna maswali ya kisheria....hapo..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…