Mali za urithi zinatusaidia ama zinatuangamiza??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwenu wana Jf
Yawezekana babako ni kama wangu aliekomaa kuttotoa urithi mpaka siku ya matanga..kumekuwa na watu wengi wakilalama kuhusu kwa nini wazazi wao awaapi urithi..nimekuwa nikitafakari hili nikasema niwaletee wana jf tuangalie ni jinsi gani tunaweza kuwahimiza wazee wetu waachie mali kabla awajafa ama ni sawa kutotoa urithi..nasema hivi nimeona familia nyingi sana zikinyanyasika baada ya wazazi wao kufa..mama yangu mdogo )marehemu)alikuwa kichekesho cha mwaka pale kakake alipofariki na kudai alimwambia atampa gari moja na tv ..akika kwenye matanga niliogopa sana nikamwambia mamangu hii ndio familia yenu sio?..anyway haya na mengineyo yanayotokea ndio mwendelezo wa wa shida za urithi na ndio maana sishangai kuona vijana wa kileo wakiaomba wapewe urithi kabla ya wazazi wao kuondoka duniani.........,

wachaga wamekuwa na mazo ya kuacha urithi kabla na pengine binafsi nimeona kuna vijana wengi wamekufa kupitia urithi wa baba zao na kuacha baba zao wakiendelea kushikilia tena mali kama vile ubunge wa tanzania..hili limekuwa tatizo kwa upende mmoja lakini yaonekana madhara yake ni makubwa..nakumbuka jamaa yangu mmojaalioa akaambiwa aandikishe mali bahati mke nae ameachiwa urithi akaambiwa aandikishe mwanamke akachomoa ndoa ikawa doa leo hii mwanaume kaoa mwingine mwanamke kawa msilamu kaolewa mke wa pili....kisa tu mali za urithi

je mali za urithi zinasaidia zinatuangamiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…