Mali zangu ni za wanangu

Mali zangu ni za wanangu

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,087
Reaction score
3,156
Wengi wetu wa rika langu wazazi wetu hasa baba zetu walikuwa wanatuambia "Hizi mali ni za kwangu na mke wangu mkatafute vya kwenu",well there was ni option to accept their concern during those eras.

Kwa bahati mbaya mimi sijawahi kulelewa na baba na mama hivyo si muhanga wa hiyo kauli,sasa nataka kusema hivi. Mimi mali zangu ninatafuta kwa ajili ya familia yangu ni mali za watoto wangu maana wakati nazitafuta wanangu wanahusika katika mateso ikiwemo kukosa haki zao za msingi kwa uhakika kutoka kwangu. Pili ni jukumu langu mimi kutengeneza mipaka ya umasikini baina ya kizazi kile na kizazi changu,hivyo mimi ndio mwenye jukumu lakufanya hata ile grand kids yangu ije iishi rich life.

Hizi stori za ujima ndizo zinafanya familia nyingi za kiafrika kuwa masikini, baba anakuwa na mali lakini anakosa formula yakuziendeleza akifa nazo zimekufa,tujifunze kwa watu wenye asili ya uarabu

Mapambano yangu ni kwa ajili ya wanangu not I.
 
Back
Top Bottom