MALI ZANGU NI ZA WANANGU.

MALI ZANGU NI ZA WANANGU.

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,087
Reaction score
3,156
Wengi wetu wa rika langu wazazi wetu hasa baba zetu walikuwa wanatuambia "Hizi mali ni za kwangu na mke wangu mkatafute vya kwenu",well there was ni option to accept their concern during those eras.

Kwa bahati mbaya mimi sijawahi kulelewa na baba na mama hivyo si muhanga wa hiyo kauli,sasa nataka kusema hivi,,MIMI MALI ZANGU NINATAFUTA KWA AJILI YA FAMILIA YANGU,NI MALI ZA WATOTO WANGU MAANA WAKATI NAZITAFUTA WANANGU WANAHUSIKA KATIKA MATESO IKIWEMO KUKOSA HAKI ZAO ZA MSINGI KWA UHAKIKA KUTOKA KWANGU,PILI NI JUKUMU LANGU MIMI KUTENGENEZA MIPAKA YA UMASIKINI BAINA YA KIZAZI KILE NA KIZAZI CHANGU,HIVYO MIMI NDIO MWENYE JUKUMU LAKUFANYA HATA ILE GRAND KIDS YANGU IJE IISHI RICH LIFE.

HIZI STORI ZA UJIMA NDIZO ZINAFANYA FAMILIA NYINGI ZA KIAFRIKA KUWA MASIKINI,BABA ANAKUWA NA MALI LAKINI ANAKOSA FORMULA YAKUZIENDELEZA AKIFA NAZO ZIMEKUFA,TUJIFUNZE KWA WATU WENYE ASILI YA UARABU

MAPAMBANO YANGU NI KWA AJILI YA WANANGU NOT I.
 
Hizo Mali zako ni Mali gani Kama ndo Mali hizi watumishi wa umma nyumba moja gari moja na madeni hapo sawa.
 
Binafsi kila kitu ni changu na mke wangu, kila mtoto atatafuta malizake ila akishindwa basi atakaa kwangu maisha yake yote nikimhudumia kwa kila kitu
 
Lakini hii ndio huchochea fikra za kivivu miongoni mwa vijana wengi.

Jukumu la mzazi ni kumuandalia mtoto mazingira mazuri kwa ajili ya future yake.
Ni lazima kutengeneza pia mazingira ya kufanya mtoto aw na discipline na mali ama pesa once akiijua discipline hiyo hawezi kuwa mvivu,tunafeli kutengeneza discipline,hiyo kanuni ya wazee haitengenezi discipline
 
Binafsi kila kitu ni changu na mke wangu, kila mtoto atatafuta malizake ila akishindwa basi atakaa kwangu maisha yake yote nikimhudumia kwa kila kitu
Tengeneza mazingira ya wanao kuijua pesa ,kuiheshimu,theni wape nafasi kutumia kumultiply kile ulichonacho ,utatengeneza clan ambayo pesa kwao litakuwa ni suala la kawaida
Kama huo ndio msimamo wako basi jitahidi kuwashape watoto wako akili zao zisije zikakengeuka maana wanakuua wapate kukurithi
Figure discipline before anything,ukifuatilia wanaoua wazazi kisa mali ama ndugu wanaouana kisa mali ni kwa sababu hawana discipline ya pesa
 
Ni lazima kutengeneza pia mazingira ya kufanya mtoto aw na discipline na mali ama pesa once akiijua discipline hiyo hawezi kuwa mvivu,tunafeli kutengeneza discipline,hiyo kanuni ya wazee haitengenezi discipline
Mtoto anakuwa na discipline kwa mali anazozitafuta yeye mwenyewe, mali za kurithi ni wachache wanaoziendeleza vizuri, matatizo yetu vijana tunayajua wenyewe.

Hivyo jukumu la mzazi si kumtafutia mtoto mali, bali kumtengenezea njia nzuri ya yeye kufikia malengo yake na kupata vya kwake.
 
Kamanda umewasilisha vizuri ila shida kwenye ufafanuzi, ungesema hivyo halafu umalizie kwamba watoto hao utawapitisha kwenye sheria zinazolingana na za ki jeshi kuheshimu sarafu na kusoma sheria za hela.
Ni kweli Baba anatuta kwa ajili ya kesho ya watoto
 
Falsafa huwa haisemi wazi moja kwa moja ,inakubidi utumie logic,kwa watu wanaofuatilia namna watu wenye asili ya uarabu ama asia kwa kiasi kikubwa vile wanaweza kuendeleza utajiri wao kizazi kwa kizazi walisha nielewa ,pale tu walipoona nimesema tujifunze kutoka kwa watu hao
 
Wengi wetu wa rika langu wazazi wetu hasa baba zetu walikuwa wanatuambia "Hizi mali ni za kwangu na mke wangu mkatafute vya kwenu",well there was ni option to accept their concern during those eras.

Kwa bahati mbaya mimi sijawahi kulelewa na baba na mama hivyo si muhanga wa hiyo kauli,sasa nataka kusema hivi,,MIMI MALI ZANGU NINATAFUTA KWA AJILI YA FAMILIA YANGU,NI MALI ZA WATOTO WANGU MAANA WAKATI NAZITAFUTA WANANGU WANAHUSIKA KATIKA MATESO IKIWEMO KUKOSA HAKI ZAO ZA MSINGI KWA UHAKIKA KUTOKA KWANGU,PILI NI JUKUMU LANGU MIMI KUTENGENEZA MIPAKA YA UMASIKINI BAINA YA KIZAZI KILE NA KIZAZI CHANGU,HIVYO MIMI NDIO MWENYE JUKUMU LAKUFANYA HATA ILE GRAND KIDS YANGU IJE IISHI RICH LIFE.

HIZI STORI ZA UJIMA NDIZO ZINAFANYA FAMILIA NYINGI ZA KIAFRIKA KUWA MASIKINI,BABA ANAKUWA NA MALI LAKINI ANAKOSA FORMULA YAKUZIENDELEZA AKIFA NAZO ZIMEKUFA,TUJIFUNZE KWA WATU WENYE ASILI YA UARABU

MAPAMBANO YANGU NI KWA AJILI YA WANANGU NOT I.
Unatengeneza mazingira ya kufa mapema ili wenye mali zao wachukue mapema.
 
Hakika,jasho langu ni Kwa ajili ya kesho ya wanangu
 
Back
Top Bottom