kwani tatizo nini.mbona kiwanda cha sigala kipo hata hapa bongoHako kajamaa kanaonekana kalevi sana...
Huyo Malia nae at 20 unavuta mifegi? Mtoto wa nyoka ni nyoka, unavuta bangi mbele ya watoto wako mwisho wake ndo huu!
Kidogo naweza kupumua aitheee so babu akiwa na mwingine mwaka mzima una nuna...?Hajasia Asprin
Pia kaambiwa afanye kazi ngumuYuko gerezani anitumikia Jamhuri ya Muungano.
Unamaanisha nini?....wee unavuta?kwani tatizo nini.mbona kiwanda cha sigala kipo hata hapa bongo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...sio siri demu kuvuta fegi sijui naonaje?Huyu mshichana nilikuwaga namadmire sasa mixer na ma fegi bye bye mpuuzi huyu
Kwa mpaka fegi kanitooka!Hiyo ni foolish age ataacha
of course navuta hata bangi. Marekani na nchi nyingine zilizoendelea bangi ishahalalishwa bado huko nchini kwenu Bongo, mbele ya safari itaruhusiwa tu.Unamaanisha nini?....wee unavuta?
Walimfunga kisanduYuko gerezani anitumikia Jamhuri ya Muungano.
Tunamgonja kwa hamu ndugu yetu MASQOdeo kisandu
View attachment 823298
Malia Obama(20) na mpenzi wake Rory Farguharson(19) wabamba Mayfair London wakivuta sigara wakati wakienda kula dinner . Malia Obamba ambaye alikuwa first daughter katika ikulu ya Marekani alianza kuvuta muda sasa
Mkuu mbna sioni wakivuta hyo sigaraq[emoji53]
Kwani kuvuta fegi au ganja ni dhambi dada ?Hako kajamaa kanaonekana kalevi sana...
Huyo Malia nae at 20 unavuta mifegi? Mtoto wa nyoka ni nyoka, unavuta bangi mbele ya watoto wako mwisho wake ndo huu!
Hahah Mimi nilimchomolea kwa kua hana chura mkuuHuyu mtoto nilikua namtaka kitambo sana tatizo ni pesa tu za kunipeleka havard..
Watu wenye hela wanafaidi sana...
Acha nitafute hela atleast watoto wangu wasipate shida kudate na wasichana wa hivyo
Swafiiii sana