SoC04 Maliasili na utalii viwe vipaumbele na kiini cha kuleta mabadiliko

SoC04 Maliasili na utalii viwe vipaumbele na kiini cha kuleta mabadiliko

Tanzania Tuitakayo competition threads

Lersia

Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
6
Reaction score
6
Nipende kushauri nchi yangu juu ya suala zima linalohusu rasilimali, maliasili na utalii kama kipaumbele bora na kiini cha kuleta mabadiliko katika sehemu na sekta mbalimbali zilizomo, nchini mwetu

Kwanza kabisa sekta hii inakuza masuala yote yanayouhusiana na usafirishaji katika anga, nchi kavu na majini pia p

Pili inasaidia ukuaji wa sekta mbalimbali ikiwemo afya kwani Kuna misitu mingi asilia ambayo wageni huja na kutumia kwenda kutumia kutengenezea dawa nchini mwao tusiwaone wao ni wajinga wanavyokuja kwetu huku na kubaki kufurahia kupokea hela zao za kigeni lakini ukweli ni kwamba wanajifunza vitu vingi sana vinavyowasaidia kukuza utaalamu na teknolojia nchini mwao.

Itoshe tu kusema hivyo.

Wako katika ujenzi wa taifa (Letitia)
 
Upvote 7
Back
Top Bottom