Malighafi ya vikapu rafiki kwa mazingira

Malighafi ya vikapu rafiki kwa mazingira

Syolosu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2019
Posts
868
Reaction score
1,016
Natumai mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku.

Naomba kwa mwenye taarifa ya upatikanaji wa zile kamba za kuwambia/ kushonea vikapu hivi vya Siku hizi ambavyo ni rafiki kwa mazingingira.

Wengine wanasema kamba hizo zinatoka kenya bila kutoa usahihi zinapo patikana. Ni kamaba kwa mwonekano kama plastic lakini zina asili ya kuweza kuoza baada ya kuchoka.

Naomba kufahamu zina uzwa sh. Ngapi kwa roller moja, zinaitwaje kiusahihi, zinapakiwa kwa kilo ngapi kwa roller. Kiujumla nahitaji taarifa zake kibiashara zaidi
IMG_20210511_161203_704.jpg

IMG_20210512_105413_997.jpg

IMG_20210512_105433_027.jpg

IMG_20210511_161008_224.jpg
 
Kwenye baloo za mitumba zinapatikana sana, watafute wauza nitumba ya nguo
 
Nenda masokoni, niliwahi kuulizia miaka imepita soko la sido elf 32 kwa rola 1 bei inaweza ikawa imepanda, hata makapu yslikuwa hayajabuniwa bado.Tembea masokini ndio urapata.
 
OK!
Mimi nnasoko ila sehemu/ mtu anayejumlisha ndo sijapata. Sido ya wapi ilikuwa
Nenda masokoni, niliwahi kuulizia miaka imepita soko la sido elf 32 kwa rola 1 bei inaweza ikawa imepanda, hata makapu yslikuwa hayajabuniwa bado.Tembea masokini ndio urapata.
 
Kama upo Mbeya kuna sehemu kunaitwa SIDO, Mwanjelwa kuna hizo materials wanauza kati ya 30k-35k per roller mkuu.
 
Kama upo Mbeya kuna sehemu kunaitwa SIDO, Mwanjelwa kuna hizo materials wanauza kati ya 30k-35k per roller mkuu.
Asante
Ngoja nichek network ya mby nijue wapi zinatoka kwa 30k ni changamoto kwangu
 
Kwa mliopo Kenya naambiwa zinatoka huko Kwa mwenye taarifa zake
 
Wafumaji wapo ishu ni hizo materials
 
Back
Top Bottom