Maliki Marupu amememjibu Dkt Malisa amemwambia akasome Katiba vizuri

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Your browser is not able to display this video.

Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi CCM mwaka 2015, Maliki Marupu licha ya kumjibu mwanachama mwenzake Humphrey Polepole kufuatia kauli yake kuhusu mchakato wa uchaguzi wa urais ndani ya chama hicho pia amemvaa Dkt Godfrey Malisa .

Marupu ameyasema hayo kufuatia hoja alizoziibua Dkt Godfrey Malisa kuhusu kukiukwa kwa katiba ya Nchi Ibara ya 38 kipengele pili akidai kuwa mchakato wa Urais umevunjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…