Malikia Elizabeth II wa Uingereza apata maambukizi ya Corona

Malikia Elizabeth II wa Uingereza apata maambukizi ya Corona

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
FMCoZLMXEAIpsAA.jpeg

Habari za kuthibitishwa kutoka Uingereza zinasema Malikia Elizabeth II amepata maambukizi ya corona. Mpaka sasa taarifa hizo zinasema Malikia huyo ana hali ya homa isiyo kali bila ya madhara mengine na atendelea na majukumu yake madogo madogo. Malikia Elizabeth II amepatiwa dozi tatu za chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya corona.
 
Ikiwa malkia anaipata vipi kuhusu hawa wa uswahilini
 
View attachment 2125016

Habari za kuthibitishwa kutoka Uingereza zinasema Malikia Elizabeth II amepata maambukizi ya corona. Mpaka sasa taarifa hizo zinasema Malikia huyo ana hali ya homa isiyo kali bila ya madhara mengine na atendelea na majukumu yake madogo madogo. Malikia Elizabeth II amepatiwa dozi tatu za chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya corona.
... wakija waingereza wa uswahilini na k-vant za kutosha kichwani; kwanza wataanza kwa kujisifia kusoma Makerere then wata-challenge huo ujumbe kama hivi;
  • the definite article "the" inakosekana kabla ya Buckingham Palace because there is one and only one Buckingham Palace.
  • ilitakiwa isomeke "confirms" badala ya confirm kwa sababu Buckingham Palace, in this context, is third-person singular.
Dah! Bahati mbaya ujumbe umetoka jikoni kabisa Kiingereza kinakochakatwa!
 
Back
Top Bottom