Malikia Lady Jaydee linapokuja suala la Chorus

central midfielder

Senior Member
Joined
Apr 14, 2023
Posts
146
Reaction score
215
KARIBUNI OLD SCHOOL HAPA. Kabla hujawaza kuhusu Sir Nature, Dully,Q. Chief,T.i.d, Paulina Zongo, Mr Paul n.k. Linapokuja suala la Chorus.

Hivi uliwahi kumfikiria malikia Lady Jaydee linapokuja suala la Chorus. Uliwahi mfikiria kweli?

Ebu tazama hizi Chorus hapa chini. Jide🙌🏻🙌🏻🔥,

NB;Elewa hizi ni Chorus nazungumzia sio kaimba full ngoma. Ndio mana zipo hizi. Chorus tu.

Ipi uliwahi kuikubali zaidi? Je kuna nyingine nimeisahau unaweza kuiongeza??

NI CHORUS TU, ELEWA.

1.Albert Mangwair ft Lady Jaydee__Mapenzi gani.

2.Mandojo na Domokaya ft Lady Jaydee__Wanok Nok.

3.Joh Makini,G.Nako ft Lady Jaydee__Kilimanjaro Mountain.

4.Ngwair ft Mwana Fa,Lady Jaydee__Sikiliza.

5.Mwana Fa ft Lady Jaydee__Msiache kuongea.

6.Jaffarai ft Lady Jaydee__Sio kweli.

7.Ay ft Lady Jaydee__Machoni kama watu.

8.Nikki mbishi,one,Songa ft Lady Jaydee__Kupanda na kushuka.

9.Mwana ft Lady Jaydee__Wanaume kama mabinti.

10.Profesa Jay ft Lady Jaydee__Bongo Dar Es Saalam.

11.Profesa jay ft Lady jaydee__Niamini remix.

12.Roma ft Lady Jaydee__Diaspora.

13.Mwana ft lady jaydee__Alikufa kwa ngoma.

14.Mwana fa ft Lady jaydee_Sitoamka.

LADY JAYDEE REMEMBER THE NAME.
 
3) ni moja ya chorus bora Jay dee amewahi imba

...to be with you I'm feeling like I'm top of the world uuuuuh
and i wanna stay just like kilimanjaro mountain
I don't wanna play I just wanna stay....
I just wanna stay I don't wanna play.....

2) wanoknok [emoji122]
5) Msiache kuongea [emoji122]

Jay dee bado naamini anaudai huu muziki[emoji122]
 
Jay dee bado naamini anaudai huu muziki
emoji122.png
Maana
3) ni moja ya chorus bora Jay dee amewahi imba

...to be with you I'm feeling like I'm top of the world uuuuuh
and i wanna stay just like kilimanjaro mountain
I don't wanna play I just wanna stay....
I just wanna stay I don't wanna play.....

2) wanoknok [emoji122]
5) Msiache kuongea [emoji122]

Jay dee bado naamini anaudai huu muziki[emoji122]
Hiyo na Joh Makini aliuwa nafikiri inaweza kusimama kama namba moja. Kuna kale kasehemu G nako na joh hawachani alafu yeye anapiga kimombo aiseee....Ila hiyo ft Ngwair na Fa Sikiliza nayo dah..🙌🏻
 
Nadhani ukimtoa Juma Nature ni Jay Dee ambaye anafata kwa Chorus Kali sana Katika Bongo fleva yetu na hapo bado hujataja chorus za nyimbo zake ambazo alisimama yeye kama yeye.
 
KARIBUNI OLD SCHOOL HAPA. Kabla hujawaza kuhusu Sir Nature, Dully,Q. Chief,T.i.d, Paulina Zongo, Mr Paul n.k. Linapokuja suala la Chorus.

Hivi uliwahi kumfikiria malikia Lady Jaydee linapokuja suala la Chorus. Uliwahi mfikiria kweli?

Ebu tazama hizi Chorus hapa chini. Jide🙌🏻🙌🏻🔥,

NB;Elewa hizi ni Chorus nazungumzia sio kaimba full ngoma. Ndio mana zipo hizi. Chorus tu.

Ipi uliwahi kuikubali zaidi? Je kuna nyingine nimeisahau unaweza kuiongeza??

NI CHORUS TU, ELEWA.

1.Albert Mangwair ft Lady Jaydee__Mapenzi gani.

2.Mandojo na Domokaya ft Lady Jaydee__Wanok Nok.

3.Joh Makini,G.Nako ft Lady Jaydee__Kilimanjaro Mountain.

4.Ngwair ft Mwana Fa,Lady Jaydee__Sikiliza.

5.Mwana Fa ft Lady Jaydee__Msiache kuongea.

6.Jaffarai ft Lady Jaydee__Sio kweli.

7.Ay ft Lady Jaydee__Machoni kama watu.

8.Nikki mbishi,one,Songa ft Lady Jaydee__Kupanda na kushuka.

9.Mwana ft Lady Jaydee__Wanaume kama mabinti.

10.Profesa Jay ft Lady Jaydee__Bongo Dar Es Saalam.

11.Profesa jay ft Lady jaydee__Niamini remix.

12.Roma ft Lady Jaydee__Diaspora.

13.Mwana ft lady jaydee__Alikufa kwa ngoma.

14.Mwana fa ft Lady jaydee_Sitoamka.

LADY JAYDEE REMEMBER THE NAME.
Sugu ft Jay Dee - Mambo ya fedha.

T.I.D ft Lady Jaydee - Understand.

Alikiba& Lady Jaydee - single boy.

Juma nature ft Lady Jaydee-Kama Jana.

Kidumu ft Jaydee - Nitafanya.
 
HIZI NIMETAJA ALIZO SHIRIKISHWA NA KILICHOFUATA NI HISTORIA TU
 
Habari mpya, jide anataka kusaidia kimasomo chuo kikuu vijana 5, kusoma mpaka Masters, Ila waliofaulu vizuri Six,watume maombi kwenye imail yake.
 
Huyu dada hizo chorus kama ndo angekua anaimba mda huu yaan angekua na mkwanja mrefu Sana aisee asinge shikika kabisa
 
  • Thanks
Reactions: Gut
Wanoknok 🙌🏾🙌🏾🙌🏾

Na kile kidaraja kweli kiliandikika na flow 🔥🔥🔥

"Wamezoea kupakazia kurukia,
Ya kwao yanawashinda, ya watu wayavalia njuga hao wanafki cha kubimbi,
Ya kwao mengi twayafahamu mhhh tumenyamaza tu , kuwaheshimu kwani tumeamua kuwasitiri"
 
Sugu ft Jay Dee - Mambo ya fedha.

T.I.D ft Lady Jaydee - Understand.

Alikiba& Lady Jaydee - single boy.

Juma nature ft Lady Jaydee-Kama Jana.

Kidumu ft Jaydee - Nitafanya.
Understanding, Single Boy na Nitafanya aliimba na verses pia.
 
KARIBUNI OLD SCHOOL HAPA. Kabla hujawaza kuhusu Sir Nature, Dully,Q. Chief,T.i.d, Paulina Zongo, Mr Paul n.k. Linapokuja suala la Chorus.

Hivi uliwahi kumfikiria malikia Lady Jaydee linapokuja suala la Chorus. Uliwahi mfikiria kweli?

Ebu tazama hizi Chorus hapa chini. Jide🙌🏻🙌🏻🔥,

NB;Elewa hizi ni Chorus nazungumzia sio kaimba full ngoma. Ndio mana zipo hizi. Chorus tu.

Ipi uliwahi kuikubali zaidi? Je kuna nyingine nimeisahau unaweza kuiongeza??

NI CHORUS TU, ELEWA.

1.Albert Mangwair ft Lady Jaydee__Mapenzi gani.

2.Mandojo na Domokaya ft Lady Jaydee__Wanok Nok.

3.Joh Makini,G.Nako ft Lady Jaydee__Kilimanjaro Mountain.

4.Ngwair ft Mwana Fa,Lady Jaydee__Sikiliza.

5.Mwana Fa ft Lady Jaydee__Msiache kuongea.

6.Jaffarai ft Lady Jaydee__Sio kweli.

7.Ay ft Lady Jaydee__Machoni kama watu.

8.Nikki mbishi,one,Songa ft Lady Jaydee__Kupanda na kushuka.

9.Mwana ft Lady Jaydee__Wanaume kama mabinti.

10.Profesa Jay ft Lady Jaydee__Bongo Dar Es Saalam.

11.Profesa jay ft Lady jaydee__Niamini remix.

12.Roma ft Lady Jaydee__Diaspora.

13.Mwana ft lady jaydee__Alikufa kwa ngoma.

14.Mwana fa ft Lady jaydee_Sitoamka.

LADY JAYDEE REMEMBER THE NAME.
Huyo MWANAMAMA natak kumfananisha na MARIAH CAREY huwa hakoseagi CHORUS.. kama anaimba Uchi vile..
 
Unaacha vipi kuitaja " wanyalu" aliyo fanya na Mike Tee
 
Back
Top Bottom