Bas hili ni tatizo katika mifumo yetu ya kiuongozi.
Maana huwez niambia mkuu wa wilaya au hata mwenyekitu wa kijiji tu akshindwa ku mobile watu wafanye fund rising ili kuboresha mazingira ya watoto. Kama watu wanachangia ujenzi wa makanisa na misikiti iweje haya yashindikane?