God knows
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 276
- 173
Habarini Wadau,
Nimekuwa nikitembelea mara kadhaa jiji la Mwanza kikazi na kuvutiwa mno na huduma ya chakula inayotolewa pale Malikusema, naamini wadau wengi humu waliofika mwanza wanapafahamu.
Ugali + Kuku mzima wa kienyeji aliyandaliwa kwa njia za asili kabisa + Mboga za majani na pepsi ya baridi (Optional πππ)
Natamani kuileta ile huduma hapa DSM, eneo la city center kwa ajili ya lunch, ingawa nahitaji bado mawazo na ushauri wenu wadau wa jukwaa hili.
Hiki ndicho ninachokiwaza:
- Eneo - natamani iwe city center kwa sababu target customers ni wafanyakazi na wafanyabiashara ambao muda mwingi wa mchana wanakuwepo either posta au kariakoo.
- Unlike Malikusema, vendor atakuwa mmoja tu.
- Kuku wawe pure wa kienyeji (Kuku atauzwa mzima tu, wataamua wateja kushare wawili, watatu nk.)
- Ugali utakaokuwa unapatikana ni wa dona, sembe, mhogo, wa msoma, ....... Natumaini nitasaidiwa hapa kama kuna aina nyingine.
- Mboga majani ambazo zinatakiwa ziwe zinapatikana ni kama: Chinese, mchicha, figiri.
- Kila Meal itakuja na soda kubwa ya Pepsi/Coca as mandatory service.
Additional Services:
- Sanduku la maoni, preorder services, free lunch vouchers and etc.
Sina chochote kati ya nilivyovitaja hapo juu, nina hilo wazo tu.
Nakaribisha maoni, ushauri nk. Pia kama unaweza kuwa supplier wa chochote hapo unakaribishwa pia with proposed prices.
Ila la msingi na la kuanza nalo ni eneo, then mengine yatafuata.
Naomba Mungu idea hii ifikie maturity ndani ya jukwaa hili.
My promise: I will offer free lunch to 25 JF Members on the opening date, If I am successful with it.
Karibuni.