Malimbikizo ya mishahara kwa Walimu

kacghee

Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
10
Reaction score
1
Hivi madeni yote ya Walimu yamelipwa Mwezi Januari kama Naibu Waziri wa Elimu alivyotamba? Mbona Walimu wengi wanaodai malimbikizo ya mishahara hawajalipwa?
 
Kuna matatizo mengi yanawakumba watumishi wa umma.Serikali imezidiwa kwani ukata umeingia mlangoni ndo maana ufanisi umotekea dirishani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…