PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Katika pitapita zangu mitaani, mitandaoni na vijiweni nimekutana na mashabiki wa Yanga na Simba wakitaniana, tambiana na kupigana vibisibisi vya hapa na pale. Hiyo yote inapelekea kunogeshwa kwa soka la bongo.
Kali na kubwa kuliko yote ni pale ambapo mashabiki wa Simba vile wamekuwa wanaibeza Yanga kwa kushiriki CAF Confederation Cup pamoja na Yanga kufanya vizuri katika michuano hiyo.
Wakati wakiibeza Yanga kwa kushiriki CAF Confederation Cup, kumbe wao wamejisogeza pande za Mtwara na Jumamosi wanaingia uwanja wa Sijaona Nangwana kupambana na Azam katika michuano ya Azam Confederation Cup.
Naomba niwarudishie kwenu studio ili mtupe uchambuzi zaidi kuhusiana na;
CAF Confederation Vs Azam Confederation ili tujue ipi ni zaidi?
NB: Mashabiki wa kweli haawapuuzi michuano as long as imekidhi vigezo ya vyama husika.