Malinzi achaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama cha soka Kagera

Aisee kwa iyo akipeleka malalamiko ya chama TFF yeye mwenyewe anajijibu
 
Tanzania ina maajabu sana. Wajukuu zetu watakuwa wanaangalia makaburi yetu na kucheka kwa dharau.
 
Katiba inaruhusu upuuzi huu? No wonder tutaendelea kupigwa 7 hadi akili zetu zikae sawa.
 
Katiba inaruhusu upuuzi huu? No wonder tutaendelea kupigwa 7 hadi akili zetu zikae sawa.
wanaofanya huu upuuzi ndiyo wanaotengeneza katiba. hawapaswi kuja na utetezi kuwa katiba inaruhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…