Malinzi afanya fitna, Ndimbo afukuzwa kazi Times fm

Ile kesi ya kina Matandika imekatiwa rufaa??

Ndiyo Mkuu ifuatilie tu utajua. Waliowashitaki wamesema ule uamuzi wa Mahakama ulikuwa na mapungufu makubwa kwa Kigezo kuwa hata zile sauti zilikuwa ni za kweli za akina Matandika na kwamba wanataka uchunguzi zaidi ufanyike na hata ikibidi kuihusisha na Mitandao ya Simu ambazo mawasiliano yalikuwa yakifanyika.
 
Duuuuh.. Hatari sana mkuu ! Hapa wanatafutana wakati huu wa uchaguzi. Na kama ni kweli zile sauti ni zao basi hata Malinzi ataondoka na maji
 
Bado FATMA LIKWATA Wa clouds Sasa Maana naye heshi kimbembele.kama tonge Ya ugali hahahhhaha
 
Hivi mnapata wapi nguvu za kuandika mambo ya kufikirika tena marefu kiasi hiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…