Hii nchi viongozi wanapendeza wachezaji wanachoka.
Nimemwona Lunyamila Azam tv kipindi cha mshike mshike (4/7/2017) akichambua match ya Tanzanians Vs Zambia binafsi nimejisikia vibaya mpira haujamfanyia haki na yote haya sababu ya viongozi aina ya Malinzi.