Kazitunayo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2013 Posts 3,782 Reaction score 3,199 Feb 1, 2016 #1 kuna nini kati hawa jamaa naona wanatifuana sana hadi kamati ya ZFA wamefika stage wanataka wampeleke mahakamani
kuna nini kati hawa jamaa naona wanatifuana sana hadi kamati ya ZFA wamefika stage wanataka wampeleke mahakamani
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Feb 1, 2016 #2 AIBU.......
0021 Senior Member Joined Oct 24, 2012 Posts 160 Reaction score 60 Feb 3, 2016 #3 Hapa ndo tutamkumbuka Tenga..na ndo maana Tenga alipiga vita sana Malinzi asiingie TFF....daaa tulipiga hatua 5 mbele kipindi cha Tenga sasa Malinzi katurudisha 7 nyuma na bado....
Hapa ndo tutamkumbuka Tenga..na ndo maana Tenga alipiga vita sana Malinzi asiingie TFF....daaa tulipiga hatua 5 mbele kipindi cha Tenga sasa Malinzi katurudisha 7 nyuma na bado....