Malinzi naona unaitangaza Yanga Kimataifa, hongera sana

Robinhomtoto

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
238
Reaction score
244
Hongera sana Rais wa TFF Shabiki mkubwa wa Yanga.Tunakupongeza Kwa kumtaarifu Rais wa FIFA Juu ya klabu yako ya Yanga kutwaa Ubingwa wa Tanzania bara.Tunakuomba uzidi kuitangaza Yanga Kimataifa zaidi.
 
Huyu jamaa akirudi tena kuwa wa tff kazi ipo mapovu fc ndio watakuwa wamemrudisha
 
Ni kweli aisee! Ni yeye ambaye anawashika miguu wachezaji wa simba sc ili wasifunge mabao ya kutosha wawapo Kwenye mechi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vyura fc bhana
 
Soka letu liko katika hali ngumu sana chini ya huyu bwana Malinzi
 
Huu mchezo wangechezewa yanga
Sipati picha ambavyo wangelia.
Naamini SIMBA NDO BINGWA.
 
Hongera sana Rais wa TFF Shabiki mkubwa wa Yanga.Tunakupongeza Kwa kumtaarifu Rais wa FIFA Juu ya klabu yako ya Yanga kutwaa Ubingwa wa Tanzania bara.Tunakuomba uzidi kuitangaza Yanga Kimataifa zaidi.
Acha wivu bana, tupongeze sisi Simba tuliokata rufaa!
Kama sio rufaa yetu angewajua nani nyie? Tuoneeni japo huruma miaka 5 si kidogo...
 
kweli kabisa ndiye anayemwambia mavugo apaishe mipira
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…