Nino Unapotoa kazi kwa mkandarasi unakuwa umeshamfanyia "evaluation" juu ya uwezo wake. Kwa upande mwingine ameshakufanyia "evaluation" kuhusu uwezo wako wa kulipa. Kama ni kisima cha kijiji kinachotegema ruzuku toka serikalini, mkandarasi hana uhakika kama pesa hiyo italetwa na serikali ili alipwe, kuepuka usumbufu huu ndio maana anataka kwanza malipo ili aanze kazi. Wewe kama huamini atafanya hiyo kazi, weke kipengele cha kumtaka alete "Performance guarantee toka bank" ya kurudisha pesa endapo atashindwa kufanya kazi kama mlivyo kubaliana.WanaJF, tafadhali mnisaidie.
Mimi ninataka kuchimba kijijini fulani, kwa hiyo niliwaomba "DRILLING AND DAM CONSTRUCTION AGENCY" wanipatie makadirio.
Basi waliandika "The estimated cost has to be paid to drilling and dam construction Agency in advance and thereafter the project implementation may start immediately."
Je, kulipa kabla ya mwanzo ya kazi ni halali? Mimi nitakuwa na dhamana gani?
Asanteni sana,
Nino
Hizo estimated costs ni binding kwa kiasi gani? Makubaliano yapoje kama kwenye actual implementation hizo estimated costs zitazidi au kupungua? What is fixed - performance au costs?WanaJF, tafadhali mnisaidie.
Mimi ninataka kuchimba kijijini fulani, kwa hiyo niliwaomba "DRILLING AND DAM CONSTRUCTION AGENCY" wanipatie makadirio.
Basi waliandika "The estimated cost has to be paid to drilling and dam construction Agency in advance and thereafter the project implementation may start immediately."
Je, kulipa kabla ya mwanzo ya kazi ni halali? Mimi nitakuwa na dhamana gani?
Asanteni sana,
Nino
Hizo estimated costs ni binding kwa kiasi gani?
Makubaliano yapoje kama kwenye actual implementation hizo estimated costs zitazidi au kupungua? What is fixed - performance au costs?
Maana yangu ilikuwa kama hiyo waliokupa wanasema ni estimated costs, ikitokea cost halisi inazidi hiyo/au inapungua haki yao au yao ipoje? Ni vema mambo haya yakawa wazi kwenye mkataba/makubaliano.Samahani, lakini sielewi swali lako 😕