rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Aisee kipindi kilee Bashite ameshikiwa bango na Gwajima nilimuonea huruma sanaa japo nae yulee alikomaa maana anajikweza sanaa.. Yani Gwajiboy akaamua mpka kuprint matokeo ya Bashite akawagiwia waumini wakee[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] Sasa hizi Video zake ndo nimeamini ukimtendea mtu Ubaya hulipwa na Mungu tena hapa hapa duniani...!
Baba askofu ajipange tu akiri na kutubu mbona kuteleza ni kawaidaa.. KARMA NEVER FORGET...KARMA IS REAL...
Baba askofu ajipange tu akiri na kutubu mbona kuteleza ni kawaidaa.. KARMA NEVER FORGET...KARMA IS REAL...