Malipo na hapa hapa Duniani kumbe Hata kwa watumishi wa Mungu

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Aisee kipindi kilee Bashite ameshikiwa bango na Gwajima nilimuonea huruma sanaa japo nae yulee alikomaa maana anajikweza sanaa.. Yani Gwajiboy akaamua mpka kuprint matokeo ya Bashite akawagiwia waumini wakee[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] Sasa hizi Video zake ndo nimeamini ukimtendea mtu Ubaya hulipwa na Mungu tena hapa hapa duniani...!

Baba askofu ajipange tu akiri na kutubu mbona kuteleza ni kawaidaa.. KARMA NEVER FORGET...KARMA IS REAL...
 
Mbona makonda aling'ang'ana mpaka mkamuelewa y not gwaji
 
Leo ametoa speech na vyombo vya habari dhidi ya ile video iliyosambaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…