Malipo ni hapahapa

Malipo ni hapahapa

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Kuna msichana tukiwa Sec School nilimwomba anionyeshe maziwa yake akawa mkali kibingwa,* *sasa hivi yuko pembeni yangu kwa daladala ananyonyesha.*
*Nayaona live* .
Malipo ni Hapa Hapa duniaa....
[emoji117][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwahiyo unayaangalia yote mawili badala ya moja kama ulivyo omba enzi za shule [emoji23][emoji23]
 
IMG-20160112-WA0010.jpg
 
kipindi kile yalikuwa mgando ndo maana hata kama ungenyonya yasingetoka but now ni maziwa fresh,kwani wewe ulikuwa unataka fresh au mgando?
 
*Kuna msichana tukiwa Sec School nilimwomba anionyeshe maziwa yake akawa mkali kibingwa,* *sasa hivi yuko pembeni yangu kwa daladala ananyonyesha.*
*Nayaona live* .
Malipo ni Hapa Hapa duniaa....
[emoji117][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Na mama yako anaponyonyesha au alipokuwa ananyonyesha kuna waliomwambia malipo ni hapa hapa duniani. Epuka kuwadhalilisha watoto wa kike ni mama zetu
 
Back
Top Bottom