aminiusiamini
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 3,577
- 2,224
Upande upi mkuu unaozungumzia
Nje ya nchi au ndani????, kama ndani ya nchi inawezekana vzr..... nje tumia paypal
NdioKuna jamaa mmoja anaulizia kama mtu anaweza kufanya malipo online kupitia mpesa?
Inatakiwa amtumie mtu (Third Part) mwenye access na online paymentje inawezekana kwa mteja aliye dar es salaam kufanya malipo hayo?