Malipo TRA

Malipo TRA

Masarafu

Member
Joined
May 24, 2012
Posts
22
Reaction score
13
Jamani enbu mwenye data atuambie ukiacha mshahara TRA hua wanatoa allowances gani kwa employees wake?
 
Hawawezi wakawa hawatoi. Allowance muhimu. Hata kk security wanatoa allowance for walinzi wao
 
TRA Hakuna Allowances zozote zaidi ya mishahara tena haikidhi sikuizi inatofauti kidogo sana na ya watumishi wa kawaida wa serikali. watumishi wengi vijana hukimbilia taasisi zingine kutafuta ajira baada ya kupata uzoefu. Huo ndiyo ukweli wa mambo pia wamedhibitiwa sana hata rushwa hakuna siku hizi.
 
Hili si swali la kuuliza kwa sasa, ulitakiwa ujue kabla ya oral interview
 
TRA Hakuna Allowances zozote zaidi ya mishahara tena haikidhi sikuizi inatofauti kidogo sana na ya watumishi wa kawaida wa serikali. watumishi wengi vijana hukimbilia taasisi zingine kutafuta ajira baada ya kupata uzoefu. Huo ndiyo ukweli wa mambo pia wamedhibitiwa sana hata rushwa hakuna siku hizi.
inaonyesha unafanya kazi huko tra sasa unaona kama wanagusa mslahi yako ndiyo maana unajaribu kuficha ukweli.
sema kwali bana
 
Hehe nice one. Huyu jamaa hapo juu mpotoshaji. Kuna sehemu shavu kuliko TRA?
 
House allowance 10% ya basic, Transport allowance.
 
Hehe nice one. Huyu jamaa hapo juu mpotoshaji. Kuna sehemu shavu kuliko TRA?

Huyo sio mpotoshaji tra malipo yao ni ya kawaida isipokuwa rushwa ndo ipo njenje ndo maana watu wanakimbilia huko
 
Aise yaani watu wanahesabia Rushwa as source of monthly income kwenye ajira.. kweli tutaendelea kuwa maskini daima..
 
Unakula rushwa ya Milioni tano, ambayo inasabishia taifa hasara ya Billioni 500..tufunguke jamani.. Kama tungeweza kupata data za TRL na ATCL walikula ngapi na hhasara yake ilikuwa ngapi tuone justification yake...Rushwa mbaya sana..
 
jamani hili jukwaa litumike vizuri swala la wewe mtu binafsi kukosa kazi tra isitumike kama sababu ya kudhalilisha mamlaka yetu mm nalikili wazi hakuna sehemu yenye fair and equal employment opportunity kama tra.tatizo letu ma graduate wa siku hizi ni product ya ( kbe)knownledge based education sio (cbe) competent based education ndo maana watu wengi wanashindwa interviewza tra ,naikubali sana safu ya human resource ya TRA ndo maana wana outsource all recruiment kwa public institution kama udsm,mzumbe,ifm,uccna private company kama pwc,kpmg,e&y na delloitte.ndo maana waajiriwa wengi wa tra ni vichwa hakuna kilaza hapa
 
  • Thanks
Reactions: apk
Back
Top Bottom