jamani hili jukwaa litumike vizuri swala la wewe mtu binafsi kukosa kazi tra isitumike kama sababu ya kudhalilisha mamlaka yetu mm nalikili wazi hakuna sehemu yenye fair and equal employment opportunity kama tra.tatizo letu ma graduate wa siku hizi ni product ya ( kbe)knownledge based education sio (cbe) competent based education ndo maana watu wengi wanashindwa interviewza tra ,naikubali sana safu ya human resource ya TRA ndo maana wana outsource all recruiment kwa public institution kama udsm,mzumbe,ifm,uccna private company kama pwc,kpmg,e&y na delloitte.ndo maana waajiriwa wengi wa tra ni vichwa hakuna kilaza hapa