Naomba kuuliza namna ya kufanya malipo ya serikali kwa mtu ambaye ni wakala hasa kwa mitandao ya Vodacom M-Pesa, Tigopesa, Halotel, Airtel, ttcl nk, menu zake ni zipi na je kuna Kamisheni?
Kwa uzoefu wangu hakuna njia ya moja kwa moja kwa kutumia simu ya uwakala kufanya malipo hayo, hayo ufanyika kwa kutumia uwakala wa kibank(mashine) au machine ya selcom