KERO Malipo ya ada vyuoni kupitia control number ni shida, mtandao unasumbua

KERO Malipo ya ada vyuoni kupitia control number ni shida, mtandao unasumbua

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Leo au toka jana serikali haina mtandao. Malipo ya ada vyuoni kupitia control number ni shida siku nzima mtandao hauko hewani.

Kule CRDB napo ni shida hakuna mtandao. Nimelipa kitu flani kimenirudia mimi mwenyewe yaani pesa zimebaunsi

Vitambulisho vya NIDA navyo ni shida.

Eee Mungu tusaidie tuondokane na ccm
 
Mkiambiwa watawala waliopo sasa hawana kabisa uwezo wa kutusaidia sisi wananchi hamuelewi. Ipo siku mtaelewa tu.
Serikali ya awamu hii imefeli kwa kiwango kisichoelezeka.
UJINGA, WOGA na UMASKINI ndivyo vinavyoimaliza Tanzania.
Tungeondoa woga, tukafanya maamuzi sahihi, ndani ya miaka 3 tu tunaachana na ujinga huu.
 
Back
Top Bottom