Mkiambiwa watawala waliopo sasa hawana kabisa uwezo wa kutusaidia sisi wananchi hamuelewi. Ipo siku mtaelewa tu.
Serikali ya awamu hii imefeli kwa kiwango kisichoelezeka.
UJINGA, WOGA na UMASKINI ndivyo vinavyoimaliza Tanzania.
Tungeondoa woga, tukafanya maamuzi sahihi, ndani ya miaka 3 tu tunaachana na ujinga huu.