bwanafundi
Member
- Jan 13, 2011
- 17
- 1
Hakuna bei kwa sababu hawanunui nyumba yako. Unafidiwa thamani ya kile ambacho utapoteza, i.e nyumba nzima au kipande na mali zingine kama zipo. Watathmini (valuers) wa serikali ndio wanaokadiria nini ufidiwe na thamani yake. Mara nyingi fidia unayopata haiwezi kukuwezesha kujenga nyumba kama hiyo inayobomolewa kwa sababu gharama za vitu wakati wa kujenga zinakuwa ndogo kulinganisha na wakati unapofidiwa. Kwa maneno mengine lazima utapata hasara.ndugu zangu wanajukwaa hili naomba kwa anaejua namna malipo ya fidia yanavyofanywa kwa mtu ambaye barabara ndilo limemfuata,naomba nipewe utaratibu mzima na bei na vipimio vitumiwavyo na bei zake,nazumgumzia nyumba iliyochorwa (x) inayostahili fidia.asante.