Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,789
- 4,245
Naomba kufahamu, akaunti namba ya kufanya malipo ya fomu ya maombi ya kuomba usajili wa kuvuna na kutengeneza mkaa kwa CRDB au NMB ni ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Tabata, Kimanga. Kwa huku zipo wapi?Tafuta ofisi ya TFS iliyo karibu, sasa ukipata akaunti bila Control Number utalipaje?
tafuta control number kwanza, kisha nenda benki kalipie mkuuNaomba kufahamu, akaunti namba ya kufanya malipo ya fomu ya maombi ya kuomba usajili wa kuvuna na kutengeneza mkaa kwa CRDB au NMB ni ipi?
Mi naishi Lindi huku ndani ndani, mambo ya hapo mjini kwenu uliza hapo hapo mkuuNipo Tabata, Kimanga. Kwa huku zipo wapi?