Anakupiga huyo, huyu hapa kanijengea kwa 4,500/Sqm.Wadau nategemea kuwekea sakafu tiles,sasa changamoto ni malipo ya fundi mweka tiles,maana kuna fundi ambaye alifanya shughuli nyingine za ujenzi ananiambia kuwa square mita ni sh. 9000.
Mafundi wengi ni madalali anauza kazi kwa mwingine naye ale chake.
Naomba kwa wenye uzoefu ni sh. ngapi kwa square mita
Anakupiga huyo, huyu hapa kanijengea kwa 4,500/Sqm.
0767 013 285
Yaani amtoe fundi kigoma Hadi mtwara, kwani mtwara hakuna mafundi?Anakupiga huyo, huyu hapa kanijengea kwa 4,500/Sqm.
0767 013 285
Anampiga kweli kuna fundi alijenga sehem kwa sqm moja sh 5000 na ndo bei elekezAnakupiga huyo, huyu hapa kanijengea kwa 4,500/Sqm.
0767 013 285