Wakutoe kwa sababu gani?Je certificate yako ya hisa unayo?Mi nilinunua za NOCOL halafu zikashuka bei kuliko ile niliyonunulia nahisi ilikuwa mwaka 2004. Jana ndo nasikia tangazo kwamba wana hisa wana mkutano sasa sijui kama naweza kwenda na deposit slip wakanikumbuka au walishanitoa kwenye database.
Kama unazo ncertificate zako za hisa,Akaunti ya benki na active email na simu Unaweza wasiliana na kampuni husika na kuuliza taarifa zako na gawio kama lipo.Cha muhimu uwe unarecords zako zote.Umewekeza kwenye kampuni ngapi?Ninazo hisa kadhaa kwenye Makampuni mbalimbali lakini sijapata malipo yangu kwa muda mrefu. Nimesikia kuwa kuna kampuni inaweza kunisaidia kufuatilia mgawo wangu wa hisa zangu. Ninawaomba kama mtu anaweza kunipa jina la kampuni hiyo, namba ya simu au barua pepe anisaidie ili niweze kuwasiliana nao.
Nina kikaratasi kidogo chenye nembo ya NICOL kimebanwa kwenye deposit slip ya CRDBWakutoe kwa sababu gani?Je certificate yako ya hisa unayo?
Inabidi wasiliana na NicolNina kikaratasi kidogo chenye nembo ya NICOL kimebanwa kwenye deposit slip ya CRDB
Sikiliza Radio free kuanzia sa12:30 hadi sa01:30 asubuhi kuna tangazo wanalirusha kila siku linawahusu ambao hamjachukua magawio yenu muda mrefu,nazani ile ni kampuni inayojihusisha na ufuatiliajiwamagawioNinazo hisa kadhaa kwenye Makampuni mbalimbali lakini sijapata malipo yangu kwa muda mrefu. Nimesikia kuwa kuna kampuni inaweza kunisaidia kufuatilia mgawo wangu wa hisa zangu. Ninawaomba kama mtu anaweza kunipa jina la kampuni hiyo, namba ya simu au barua pepe anisaidie ili niweze kuwasiliana nao.