Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 243
- 287
Sio Rungwe tu ni tatizo la nchi nzimaSisi Watumishi wa Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tunajiuliza kuna shida gani Wilayani kwetu?
Pesa za likizo kwa Watumishi wa Umma kutotoka kwa wakati hilo jina jambo la kawaida, hali hiyo imekuwa ikijirudia mara kwa mara.
Mfano taarifa za likizo ya Mwezi Desemba 2024 zilianza kukusanywa tangu mwezi Septemba 2024 lakini likizo iliisha 06/01/2025 hakuna aliyelipwa.
Baadaye ndipo watu wakaanza kulipwa, baadhi wakiwa hawajalipwa mpaka, tunajiuliza hizi pesa za nauli ya likizo zinakuwa na maana gani kwa mtumishi anayeenda likizo?
Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi na Viongozi wengine mnatusaidia vipi ili kuondoa uzembe huu?
Sio rungwe tu hilo jambo ni kote. Wanakera saanaSisi Watumishi wa Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tunajiuliza kuna shida gani Wilayani kwetu?
Pesa za likizo kwa Watumishi wa Umma kutotoka kwa wakati hilo jina jambo la kawaida, hali hiyo imekuwa ikijirudia mara kwa mara.
Mfano taarifa za likizo ya Mwezi Desemba 2024 zilianza kukusanywa tangu mwezi Septemba 2024 lakini likizo iliisha 06/01/2025 hakuna aliyelipwa.
Baadaye ndipo watu wakaanza kulipwa, baadhi wakiwa hawajalipwa mpaka, tunajiuliza hizi pesa za nauli ya likizo zinakuwa na maana gani kwa mtumishi anayeenda likizo?
Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi na Viongozi wengine mnatusaidia vipi ili kuondoa uzembe huu?
πππ Ilala kuna utaratibu wa kujaza tu taarifa.Bora nyie mnalipwa ilala hata sijui kama Kuna utaratibu wa kulipa
Unajaza alafu no payment. ..? Nchi noma hiiπππ Ilala kuna utaratibu wa kujaza tu taarifa.
Sasa hapo uliyo reply ni alichokiuliza mwenzako au ni hasira zako za january tu..?Watumishi wa Tamisemi mnatia huruma sana, tatizo mna umaskini sana wa kipato na fikra, mnahusudu sana uchawi, kurogana na majungu. Ndio maana mnadharauliwa sana na hamthaminiwa
Dawa ya kushinda dhuluma za Mwajiri ni kujiajiri.Sasa hapo uliyo reply ni alichokiuliza mwenzako au ni hasira zako za january tu..?
Amekuambia haja jiajiri..? Acha mihemko watu kama wewe ndio huzabwa makofi maana unaleta vimaelezo vya kimipasho mipasho tupu. Unajua maisha yake..? Na mtu kudai haki yake sio kosa ni moja ya uwakibikaji.Dawa ya kushinda dhuluma za Mwajiri ni kujiajiri.
Sisi Watumishi wa Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tunajiuliza kuna shida gani Wilayani kwetu?
Pesa za likizo kwa Watumishi wa Umma kutotoka kwa wakati hilo jina jambo la kawaida, hali hiyo imekuwa ikijirudia mara kwa mara.
Mfano taarifa za likizo ya Mwezi Desemba 2024 zilianza kukusanywa tangu mwezi Septemba 2024 lakini likizo iliisha 06/01/2025 hakuna aliyelipwa.
Baadaye ndipo watu wakaanza kulipwa, baadhi wakiwa hawajalipwa mpaka, tunajiuliza hizi pesa za nauli ya likizo zinakuwa na maana gani kwa mtumishi anayeenda likizo?
Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi na Viongozi wengine mnatusaidia vipi ili kuondoa uzembe huu?
Huwa nashangaa nikisikia watu wamelipwa likizoπππ Ilala kuna utaratibu wa kujaza tu taarifa.
Www.Makofionline.comAmekuambia haja jiajiri..? Acha mihemko watu kama wewe ndio huzabwa makofi maana unaleta vimaelezo vya kimipasho mipasho tupu. Unajua maisha yake..? Na mtu kudai haki yake sio kosa ni moja ya uwakibikaji.