prakatatumba
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 1,328
- 191
Mbona madaktari na waalimu wanavumilia? Na wao wavumilie tu, ukarani wa sensa ni WITO! Napita tu jamani msinitie ngeu!
Halafu kuna watu walihonga ili wapate hizo nafasi,kazi ipo
Kuna waliohonga?
mkataba kwa makaran wa sensa walioingia na nbs ulikuwa ukiwataka kupewa posho ya 380, 000/= lakini kwa temeke, mbagala charambe, tandika ila wametoa 140,000/= badala ya 380,000/= kwa dodoso refu na dodoso fupi wametoa 70, 000/= badala ya 245000. Je kwenye kata yako wewe karan wa dodoso refu na wewe karan wa dodoso fupi umepewa sh. Ngap?
Kwa hali h ya hela kutolewa kwa magumash ufanis wa kaz h itakuaje kama makaran wameanza kwa kukopwa?au makaran wavumililie maana uzalendo mbele.
dodoso refu ni nini?
Dodoso fupi ni nini?
sawa si walikubali kufanya kazi wafanye hii ndo serikali ya ccm.
sasa tena ilitakiwa msipewe hata mia moja hapo kazi ya wito unaingia mkataba kabla ya kujua kiasi cha pesa huo ni wito
Wengne wamegoma na wengne wamechukua
Hizo pesa ni kwa siku au kwa kazi yote??