Malipo ya mfanyakazi wa saluni

Malipo ya mfanyakazi wa saluni

Mzashonga

Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
18
Reaction score
2
Habari wana jamvi,

Naomba msaada kwa wanaofahamu, malipo ya mfanyakazi wa saluni ya kike yanakuaje na utaratibu mzima unakwenda vipi?
 
Analipwa mshahara kama kawaida kiwango inategemea na standard ya salon yako, unaweza fanya upelelezi ukajua kiwango wanacholipa salon za jirani.
Kuna wengine anataka akimsuka mteja rasta eg yeboyebo mnagawana pesa ya ususi nusu kwa nusu kwahiyo mshahara wake unakuwa chini na kama mapato yote yanaingia salon mshahara unakuwa juu.
Lakini kutinda nyusi unamwachia anachukua yeye. Na hapo ndipo wamiliki wa salon wanapofanya makosa makubwa kuanza salon kwa kulipa mfanyakazi mshahara mkubwa bila kujua salon itaweza kuingiza faida kiasi gani. Salon ni biashara yenye changamoto sana upande wa wafanyakazi uwe makini.
 
asante kwa msaada wako, umenisaidia kwa kiasi fulani
 
Back
Top Bottom