Mitihani ya kufunga muhula kwa shule za msingi huwa inalipiwa na wazazi au serikali hutoa mitihani kwa gharama zake? Hii ni mara ya pili mtoto anatumwa hela ya mtihani.
Hivi mkuu hadi leo hujajua CCM ni wahuniiiii, kila siku wanatangaza elimu bure, ndugu wananchi mama anaupiga mwingiiiiii, hizo shule ni CCM walimu hawana kosa huko mtaani kwako wahamasishe walimu wakatae CCM