malipo ya mnara wa simu kila mwezi

malipo ya mnara wa simu kila mwezi

Ukaridayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
515
Reaction score
476
Wakuu habari zenu

Ningependa kujua ama kufahamu kwa mwenye uelewa kuhusu jinsi makampuni ya simu yanavyolipa pale wanapokuwa wamekodi/wameweka mnara wao kwenye eneo lako.

eneo ni dsm: juu ya ghorofa
mnara ni halotel.
 
Kuna jirani yangu, huku dsm Tabata analipwa laki saba kwa mwezi
 
Back
Top Bottom