Ukaridayo JF-Expert Member Joined Oct 8, 2012 Posts 515 Reaction score 476 Jan 9, 2025 #1 Wakuu habari zenu Ningependa kujua ama kufahamu kwa mwenye uelewa kuhusu jinsi makampuni ya simu yanavyolipa pale wanapokuwa wamekodi/wameweka mnara wao kwenye eneo lako. eneo ni dsm: juu ya ghorofa mnara ni halotel.
Wakuu habari zenu Ningependa kujua ama kufahamu kwa mwenye uelewa kuhusu jinsi makampuni ya simu yanavyolipa pale wanapokuwa wamekodi/wameweka mnara wao kwenye eneo lako. eneo ni dsm: juu ya ghorofa mnara ni halotel.
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,702 Reaction score 20,134 Jan 9, 2025 #2 Kuna jirani yangu, huku dsm Tabata analipwa laki saba kwa mwezi
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Jan 9, 2025 #3 Hongera mkuu, umeuaga umasikini ,😹