platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Nilikuwa natazama Tv ya burudani hapa Tanzania. Kuna maelezo kuwa kwa sasa wanamuziki watakuwa wanalipwa mrahaba kwa kazi zao zinazochezwa redioni.
Lakini imeelezwa kuwa kuna kampuni anayoitwa ECMA ambayo CEO wake ni Pfunk itakuwa inatruck nyimbo zinazopigwa na kushauri Basata kwa ajili ya kufuatilia malipo. Ni imeungwa mkono na Wadau kama MwanaFa na Ruge.
Wasiwasi wangu ni kwa nini kampuni binafsi ifanye kazi ya kufuatilia idadi ya rekodi zilizochezwa na si Basata wenyewe, kwa sababu Basata ni taasisi ya serikali.
Sheria inasemaje juu ya ufuatiliaji wa idadi ya kuchezwa redioni kwa nyimbo?
Nani amewapa ECMA mamlaka hayo?
Ikitokea kutokubaliana na kazi ya ECMA wanaondolewa na nani? Nani atakuwa anawafanyia monitoring?
Cc matumbo Muuza Sura Nje ya Mada chige

Last edited by a moderator: