stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Habarini????
Napenda kufahamishwa wadau ndugu yangu ambae ni mwalim amehama kituo kimoja kwenda kingine kwa kuomba uhamisho, je anaweza kulipwa fedha ya usumbufu?
Kwenye kituo alichohama alipangwa mwaka Jana ajira ya 2013 na mwisho Wa mwaka Jana akahamia kituo kingine ndani ya wilaya hiyohiyo!! Msaada please
Nawasilisha