stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
walikuhamisha wao au uliomba kuhama mwenyewe?,tuanzie hapo kwanza
huyu ndugu aliomba uhamisho kwa matatizo yake ya kiafya na kuhamishiwa mjini
huyu ndugu aliomba uhamisho kwa matatizo yake ya kiafya na kuhamishiwa mjini
ndio alipata dokezo toka kwa daktari akahamishwa! kwahiyo je anatakiwa kufatilia pesa yake au ataitwa?Kama ni dokezo kutoka kwa Daktari sawa anatakiwa alipwe lakini kama aliomba mwenyewe sahau na shukuru kaweza pata uhamisho! labda kama ingekuwa enzi zetu angepata kwani enzi hizo unaweza tolewa Magomeni na kupelekwa Manzese na unapata Disturbance allowance siku saba pamoja na mkopo wa kuanzia maisha
ndio alipata dokezo toka kwa daktari akahamishwa! kwahiyo je anatakiwa kufatilia pesa yake au ataitwa?
okay nashukuru kwa mchango wako!hapati hata kumi...dokta alishauri awe karibu na uangalizi wa hospitali (kwa barua) na huyo mwalimu akaomba uhamisho ili awe karibu na uangalizi wa hospitali.....SO HAPATI SENTE HAPO