Malipo ya Serikali, kuna nini?

Malipo ya Serikali, kuna nini?

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Nimejaribu kuilipa NSSF kupitia app za NBC na CRDB banks lakini zote zinagoma.
Nimejaribu kuingia Tausi portal ,inazunguka tu.
Ni mimi tu au kuna mwingine kaliona hili?
 
Developer wa Bongo mifumo unga unga mwana kwa kutumia outdated technology kwa hio kua mvumilivu yale yale unaenda Ofisi ya Serekali unaambiwa mfumo haufanyi kazi no network,
 
Mifumo ya bongo mingi sana inazingua yani karibia yote nest,tausi,tra,n.k
 
Developer wa Bongo mifumo unga unga mwana kwa kutumia outdated technology kwa hio kua mvumilivu yale yale unaenda Ofisi ya Serekali unaambiwa mfumo haufanyi kazi no network,
Uta kuta hawaja mlipa provider
Pesa ina clear mabasi ya Esther bandarini
 
Nimejaribu kuilipa NSSF kupitia app za NBC na CRDB banks lakini zote zinagoma.
Nimejaribu kuingia Tausi portal ,inazunguka tu.
Ni mimi tu au kuna mwingine kaliona hili?

Ebwana kwani ulikuwa unalipia kitu gani NSSF
 
Elimu za wasomi wetu wa IT kwenye makaratasi hizo.Angalia ile *150*22# uone vioja.Hii nchi hii...
 
Nimejaribu kuilipa NSSF kupitia app za NBC na CRDB banks lakini zote zinagoma.
Nimejaribu kuingia Tausi portal ,inazunguka tu.
Ni mimi tu au kuna mwingine kaliona hili?
Hauna hela maskini wewe
 
Back
Top Bottom