Malipo ya usafiri baada ya kuvunjwa mkataba

Claranito

Member
Joined
May 26, 2014
Posts
28
Reaction score
3
Moja ya malipo ambayo mfanyakazi analipwa pale mkataba wa kazi unapovunjwa ni usafiri kumrudisha mfanyakazi eneo alipoajiriwa.
Swali langu ni je malipo hayo mwajiri atatakiwa kulipa hata kama mfanyakazi ameacha kazi mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…