Jamani, tangu mwezi wa 9/2012 mpaka leo walimu walipopandishwa madaraja mpaka leo hawajalipwa mshahara mpya? Katibu wa CWT ameingilia kati mpaka HAZINA majibu aliyopewa kwmb hakuna madai yeyote kutoka mkuranga! Ndio inakaaje? Hebu funguka kama ni muhusika!