Malisa, acha kubishana na hao ndugu, hawapendi! Ni mtego huo- jiondokee zako

Upumbavu wako baki nao na watoto wako..Mungu anamleta binadamu hapa duniani kila mmoja peke yake na kitu/kusudi la kufanya peke yake..usiingilie kusudi alilopewa Malisa..wewe fanya lako, km hulifahamu, nyamaza!
 
Acha upumbavu,
Huu ujinga umelelewa kwa muda mrefu mpaka sasa polisi wamegeuka miungu watu.
 
Na kwa nini aondoke na wakati ana haki zote za kuishi nchini kama raia wengine?
 
Tena aondoke haraka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…